BINADAMU waliochukuliwa na ALIENS kisha kurudishwa DUNIANI. Aliens wamekuwa wakizungumziwa kwa muda mrefu kwenye makala mbalimbali,wapo wanaoamini viumbe hawa wapo na wengine wanaamini ni habari za kufikirika tu.Leo nimekuandalia makala hii inayoelezea matukio matatu ya binadamu kunyakuliwa na aliens.