Mambo 10 ULIYODANGANYWA kuhusu simu yako

#Simu #Jifunze Teknolojia inakua kwa kasi sana na Maendeleo yake yamefikia hatua ambayo sote tumekuwa watumwa wake. Wengi wetu tunafuata kwa upofu kila sheria ya kiteknolojia ambayo tunaambiwa bila kuchunguza uhalisi wake.Ingawa wengi wetu hutumia simu kila dakika,kila saa na kila siku cha kushangaza machache tunayajua kweli kuhusu simu janja. Na mambo mengi ambayo tunafikiria tunajua kuhusu simu ni hadithi tu si kweli.

Comments

Popular posts from this blog