VITU 10 Vilivyogunduliwa Na Wanawake

Sio siri kuwa kuna uhaba wa wataalamu wanawake katika sayansi na teknolojia, kwa sababu hiyo basi wanawake kwenye orodha hii wanastahili pongezi kwa uvumbuzi wao. orodha hii imagusa uso tu wa orodha kubwa iliyopo ya wanawake wagunduzi wa vitu tunavyovitumia katika maisha yetu ya kila siku au katika taasisi fulani muhimu.Vitu hivi 10 vilivyogunduliwa na wanawake ni vithibitisho dhahiri kuwa mwanamke akipewa nafasi anaweza


Comments

Popular posts from this blog