DIKTETA ADOLF HITLER: Kijana katili aliyefeli shule, lakini akatawala Dunia

Adolf Hitler katika maisha yake hasa mwaka 1906 alitamani sana kuwa msanii na alianza kupeleleza nafasi za kusomea uchoraji, na Ilipofika mwaka 1907 aliomba kujiunga katika chuo cha sanaa mjini Vienna, lakini nako alishindwa tena. #HISTORIAYAADOLFHITLER Baada ya Kifo cha Mama yake Desemaba 1907, Hitler aliishi maisha ya kuhama hama na ilipofika Januari 1908, Hitler alianza kutumia urithi wa mama yake aliyefariki kwa ugonjwa wa Saratani kuhamia Vienna alipokaa hadi 1913.

Comments

Popular posts from this blog