HAILE SELASSIE: Mfalme Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!

HAILE SELASSIE: Mfalme Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni! Haile Selassie akiwa na umri wa miaka 13 tu, alipewa ukuu wa mgambo, wakati siku hizi kijana wa miaka 30 bado anakula kwao. Haile aliaminiwa kwasababu ya akili nyingi, ingawa kila mtu anaakili isipokuwa tumetofautiana matumizi. Haile alitumia akili kutatua matatizo ndiyo maana mwaka 1947 UK, ilipopigwa Ukame alitoa msaada wa pound 1000. Alipofikisha umri wa miaka 28 alipewa ufalme wa nchi, marastafari wa Jamaica na duniani kote wakasema huyu ndo yule Masiah.

Comments

Popular posts from this blog