Hakuna Rais Aliyekula Bata Dunia Hii Kama Mobutu Sese Seko
Hakuna Rais Aliyekula Bata Dunia Hii Kama Mobutu Sese Seko
Aliyekuwa rais wa Kongo,Mobutu Sese Seko ni rais pekee wa Afrika anayedaiwa kujilimbikizia mali nyingi kipindi hicho kiasi kwamba baadhi ya watu kudai kwamba hakuna rais aliyeweza kumfikia hata robo.
Historia inaonyesha kiongozi huyu alikuwa tajiri wakutupwa ndani ya ufukara wa kunuka, historia yake inawezakukutia simanzi sana.
Comments
Post a Comment