Posts

Showing posts from October, 2019

Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Money Heist (La Casa De Papel)

Image
Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Money Heist (La Casa De Papel)

Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Diamond Platnumz

Image
Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Diamond Platnumz

Mambo 10 Usiyofahamu kuhusu Shah Rukh Khan

Image
Mambo 10 Usiyofahamu kuhusu Shah Rukh Khan

Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Michael Jackson

Image
Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Michael Jackson

Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.!

Image
Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! Tangu HIV Imeenea Duniani, Zaid ya watu mil 70 wameambukizwa, na kati ya hao Million 35 wamepoteza maisha., lakini namba hii ya watu inaweza kuzidi kati ya siku na siku, kwasababu hakuna anae pona bali wagonjwa ndio wanao ongezeka Ingawa kama utapta dawa sahihi basi ugonjwa huu sio hukumu ya kifo kwako, UKIMWI- Ni kifupi cha neno Upungufu wa kinga mwilini' Upungufu huu kwa case ya HIV, unatokana na virusi ambavyo vinashambulia seli zinazolinda kinga ya mwili ziitwazo CD4 T, Sasa seli za CD4Tni aina ya seli hai nyeupe ambazo huitwa helper TCells, kila zinapogundua kuna adui zinafanya kazi ya kupambana nae, kiufupi unahitaji sana walinzi hawa kwenye mwili wako, Enjoy.!

Shimo Lililochimbwa Kuelekea Kuzimu.!

Image
Shimo Lililochimbwa Kuelekea Kuzimu.! Stori Kwa Ufupi.! Hivi ushawahi kujiuliza ukichimba chini kabisa utakutana na nini? Sisi tunashauku ya kutaka kujua jibu la swali hilo? Wewe je? Historia inatuambia hakuna alie wahi kuchimba kwa urefu ambao pengine tungetaka kujua undani wake, lakini tuseme labda Binadamu angeweza kupata teknolojia ya kuweza kuchimba mpaka chini kabisa je angekutana na nini? Basi kwakua hukuna alieweza kufanya hivyo sisi YIB tutajaribu kuchimba kwa kwa maneno, Enjoy.!

Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.!

Image
Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! Stori Kwa Ufupi.! Video hii inaonesha nyumba moja iliyopo jijini Paris ambapo inaelezwa kuwa, kulikua na imani mbalimbali zinazohusu ushirikina katika mazingira ya karibu na nyumba hiyo, na kwamba kila anaeamia katika nyumba hiyi hachukui siku mbili anaama, na kila anae ama anadai mambo anayoyaona katika nyumba hiyo sio mazuri hata kidogo, Sasa jamaa mmoja aliamua kubeba ujasiri na kuweza kutuonyesha yanayotokea katika nyumba hiyo kwa kutegesha kamera ambayo ili rekodi kilakitu

Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.!

Image
Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! Yaliomo ndani: Ni jambo zuri sana kujifnza kuhusu mambo yanayotuzunguka, utamu mara nyingi unakuja pale utakapo jifunza kitu ambacho haujawahi kukiona, tuamini sisi tunafahamu ladha yake, ikitokea umepelekwa Victoria falls iliyopo huko zimbabwe na ukashuhudia maajabu ya ulimwengu wetu, hata ukihadithia vip hakuna namna utaweza kulinganisha na vile ulivyoweza kushuhudia kwa macho yako mawili, kwani ukubwa wake hakuna mfano mwingine unaoweza kutumia ili ufananishe na sehemu hiyo, hizi hapa sehemu ambazo haujawai kuzifikilia kwamba zipo, lakini zipo na zinakusubiri wewe uweze kuzifahamu kupitia sisi, YIB.

Ni Marufuku Kukanyaga Sehemu Hizi, Kitakacho Kupata Usimlaumu Mtu.!

Image
Ni Marufuku Kukanyaga Sehemu Hizi, Kitakacho Kupata Usimlaumu Mtu.!

HISTORIA Ya VITA Ya MAJI MAJI (1905-1907) Babu Zetu Walivyopinga UKOLONI!

Image
HISTORIA Ya VITA Ya MAJI MAJI (1905-1907) Babu Zetu Walivyopinga UKOLONI!

Mfahamu CHARLIE CHAPLIN Mchekeshaji Wa Dunia/Aliwahi Kujishindanisha

Image
Mfahamu CHARLIE CHAPLIN Mchekeshaji Wa Dunia/Aliwahi Kujishindanisha

SAVIMBI: Mpigania Uhuru Wa ANGOLA, Aliyezikwa Kama Mbwa!

Image
SAVIMBI: Mpigania Uhuru Wa ANGOLA, Aliyezikwa Kama Mbwa!

CHEKA POINT ; MWANAUME ALIYELETWA NA UPEPO WA KISULISULI

Image
CHEKA POINT ; MWANAUME ALIYELETWA NA UPEPO WA KISULISULI

CHEKA POINT;VITUKO VYA BABA MWENYE NYUMBA

Image
CHEKA POINT;VITUKO VYA BABA MWENYE NYUMBA

Ukweli Kuhusu Jicho Lako La Kushoto Kucheza.!

Image
Ukweli Kuhusu Jicho Lako La Kushoto Kucheza.!

Watu Wa 5 Wenye Nguvu Za Ajabu

Image
Watu Wa 5 Wenye Nguvu Za Ajabu

CHEKA POINT ; MWANAUME ALIYELETWA NA UPEPO WA KISULISULI

Image
CHEKA POINT ; MWANAUME ALIYELETWA NA UPEPO WA KISULISULI

Watu Waliogoma Kuhama Katika Makazi Yao Na Kushangaza Dunia.!

Image
Watu Waliogoma Kuhama Katika Makazi Yao Na Kushangaza Dunia.!

AMEISHI MIAKA 70 BILA KULA WALA KUNYWA (AITWA MTAKATIFU)

Image
AMEISHI MIAKA 70 BILA KULA WALA KUNYWA (AITWA MTAKATIFU)

BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.

Image
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.

FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia

Image
FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia Huyu ni Rais wa Jamhuri ya Guinea ya Ikweta yaani Ginekweta, nchi iliyobarikiwa utajiri wa mafuta na gesi ikalaaniwa viongozi! Ni nchi ndogo kuliko jiji la Dodoma na inapatikana huko Afrika Magharibi. Macias Nguema alikuwa wa kwanza tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka Uhispania mwaka 1968. Kazi kubwa aliyoifanya katika utawala wake ni kuvuta bangi na kuvuruga nchi.

BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20

Image
BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20 BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20 Safari ya Bokassa ilianza vibaya ikaisha vibaya. Kwanza alikuwa yatima katika umri mdogo, akawa mtu mkubwa jeshini, akawa Rais wa nchi, akala, akanywa, akaiba, akaoa, akazaa, akafukuza, akatesa, akaua, akapinduliwa, akakimbia nchi,akarudi, akafungwa, akaachiwa, akafa ni mzee wa miaka 75, tena lofa! Akiwa na umri wa miaka 6, alishuhudia baba yake akipigwa mpaka kufa na wakoloni na wiki moja baadaye mama yake alijiua.

HAILE SELASSIE: Mfalme Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni!

Image
HAILE SELASSIE: Mfalme Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni! HAILE SELASSIE: Mfalme Aliyeuawa Na Kutupwa Chooni! Haile Selassie akiwa na umri wa miaka 13 tu, alipewa ukuu wa mgambo, wakati siku hizi kijana wa miaka 30 bado anakula kwao. Haile aliaminiwa kwasababu ya akili nyingi, ingawa kila mtu anaakili isipokuwa tumetofautiana matumizi. Haile alitumia akili kutatua matatizo ndiyo maana mwaka 1947 UK, ilipopigwa Ukame alitoa msaada wa pound 1000. Alipofikisha umri wa miaka 28 alipewa ufalme wa nchi, marastafari wa Jamaica na duniani kote wakasema huyu ndo yule Masiah.

MAAJABU : NYAMA YA MAMBA INATUMIKA KAMA KITOWEO UFILIPINO

Image
MAAJABU : NYAMA YA MAMBA INATUMIKA KAMA KITOWEO UFILIPINO

MAUAJI YA OSAMA BIN LADEN, TULIDANGANYWA..!?

Image
MAUAJI YA OSAMA BIN LADEN, TULIDANGANYWA..!?  

Mti Unaojizungusha Wenyewe Bila Kushikwa.!

Image
In this video: Hawa ni vijana ambao huwa wanajirekodi kwaajili ya mashabiki wao kuona maisha wanayoishi, Siku moja waliamua kufanya mchezo maarufu kama prank ambao unaigiza unafanya kitu huku ukiwa na maana ya utani, mara nyingi michezo hii huwa inaleta matatizo, lakin hawa walipata kubwa zaidi… Walienda katika musium moja huko nchini marrkani na kujidai kama wanaiba vitu vilivyokuwepo humo ndani, hali iliyosababisha watu kushtuka, Siku hiyo hiyo waliweza kukamatwa na polisi na kushtakiwa kwa makosa ya kusababisha uwoga kwa watu na kupewa muda tofautitofauti wa kukaa jela Enjoy.!

Watu Wa 5 Waliotoweka Katika Mazingira Ya Kutatanisha.!

Image
Watu Wa 5 Waliotoweka Katika Mazingira Ya Kutatanisha.! In This Video: Matukio yanayo tisha yanaweza kukupa burudani pale unapoyatazama, lakini.. Haya ni matukio mengine ma 5 yakusisimua na kutisha ambayo yaliweza kunaswa katika camera.!

Mtoto wa Ajabu Aliekutwa Anaelea Hewani.

Image
In this video: Baadhi yetu tunapenda kujihusisha na utafiti wa matukio mbali mbali, lakoni sio kila tukio lina majibu, matukio mengine yanatuacha na maswali vichwani mwetu, Na kumuachia mungu tu ndicho kilichobaki kwani yeye ndio anajua majibu ya maswali yote.! Karibu kwenye channel yako pendwa ya Youtube is bae, Leo tunakuletea Matukio yaliyowahi kutokea duniani bila kupata ufumbuz wake.!

Kisa Cha Watu Hawa Kuamini Mashetani Na Kupelekea Vifo Vyao.!

Image
Kisa Cha Watu Hawa Kuamini Mashetani Na Kupelekea Vifo Vyao.! In the Video: Hotel moja iitwayo Menger ambayo ipo nje kidogo ya jiji la Texas nchini marekani, ili repotiwa kuwa na mambo mengi sana ya ajabu, Hote hii ilijengwa mwaka 1959, na tangu imejengwa imekuwa ikiendelezwa na wamiliki ambao ni familia moja huku wakirithishana vizazi na vizazi, Inasemekana katika hotel hiyo watu wamekuwa wakikutana na vitu vya ajabu sana kama vile sura za mizim katika vioo vya chooni na vyumbani mpaka imefikia kipindi watu waliopo karibu wakawa wanaogopa kuingia katika hotel hiyo.

Fikilia Unaendesha Gari Usiku Alafu Unakutana Na Hiki

Image
Fikilia Unaendesha Gari Usiku Alaf Unakutana Na Hiki In this Video: Episode yetu ya 4 Inaturudisha Barabarani tena kwa mara nyingine, Kama ushawahi kuendesha gari alaf ghafla barabarani unakutana na vitu usivyo vielewa basi humu mambo hayo utayakuta, ila kama upo peke yako jiandae kukosa usingizi leo!

Video tano Ambazo Hutakiwi Kuangalia Ukiwa Umezima Taa Usiku..! (Momo challenge)

Image
Video tano Ambazo Hutakiwi Kuangalia Ukiwa Umezima Taa Usiku..! (Momo challenge)

Wapenzi Wakutana Na Kichwa Kikiwachungulia Wakati Wakifanya Yao.!

Image
Wapenzi Wakutana Na Kichwa Kikiwachungulia Wakati Wakifanya Yao.!

Uwezi Amini Jinsi Watoto Hawa Walivyoshuhudia Jini.!

Image
Uwezi Amini Jinsi Watoto Hawa Walivyoshuhudia Jini.!

BI. KIDUDE ALIILOGA DUNIA NZIMA/ AKAIPAKA MAHABA YA MUZIKI WAKE MTAMU (Maisha ya Bi. Kidude)

Image
BI. KIDUDE ALIILOGA DUNIA NZIMA/ AKAIPAKA MAHABA YA MUZIKI WAKE MTAMU (Maisha ya Bi. Kidude)

Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.

Image
Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.

Tushukuru Sana Wanyama Hawa Walitoweka Duniani Miaka Kadhaa Iliyopita.!

Image
Tushukuru Sana Wanyama Hawa Walitoweka Duniani Miaka Kadhaa Iliyopita.!

Sayari Zenye Mambo Ya Kushangaza.!

Image
Sayari Zenye Mambo Ya Kushangaza.!

Historia ya BUSHMAN, Utajiri aliopata na Kufa akiwa fukara

Image
Historia ya BUSHMAN, Utajiri aliopata na Kufa akiwa fukara

AMITHABH BACHCHAN / MSOTO WA UMASIKINI , KULALA NJE MPAKA KUMCHUKIA BABA YAKE

Image
#wasafi #TheStoryBOOK HADITHI KAMILI YA MAISHA YA MFALME WA FILAMU TOKEA INDIA AMITABH BACHCHAN

MAAJABU: KIJANA ANAYEMILIKI PERFUME GHALI ZAIDI DUNIANI

Image
Hii Ndio Perfume (Marashi au Manukato) ya Bei Kubwa zaidi Duniani kwa sasa, na Kwa Pesa za Tanzaia Inauzwa Bilioni 2.9 huko Dubai inaitwa SHUMUKH maana yake ikiwa “deserving the highest” (INASTAHILI KUWA JUU) na imepewa Motto Inayosema The Spirit of Dubai. Gharama yake imekuwa Kubwa Kutokana na Ujazo wake kuwa Mwingi, kwani ina lita 3 za ujazo na Ina Urefu wa Mita 1.97 lakini Pia Chupa yake iliyotumika kuitengeneza ni ya bei mbaya sana ikiwa na Nakshi za Vito vya Dhahabu Ambazo zina Uzito wa Kilogram 18, Silva yenye Uzito wa Kilogram zaidi ya 5 Pamoja na Almasi kwa Upande wa Juu na Pembeni

WATU ZAID YA 700 WALIPOTEZA MAISHA, HILI NDILO ENEO LINALO ONYESHA MELI YA MV BUKOBA ILIPOZAMA

Image
WATU ZAID YA 700 WALIPOTEZA MAISHA, HILI NDILO ENEO LINALO ONYESHA MELI YA MV BUKOBA ILIPOZAMA

USIBISHE, CRISTIANO RONALDO NI BORA ZAIDI..!!! Amejibadili, Si Binaadamu wa Kawaida.

Image
USIBISHE, CRISTIANO RONALDO NI BORA ZAIDI..!!! Amejibadili, Si Binaadamu wa Kawaida.

Mwanamke na Simba | Hadithi za Kiswahili

Image
Mwanamke na Simba | Hadithi za Kiswahili

Kinyozi mjinga | Hadithi za Kiswahili

Image
Kinyozi mjinga | Hadithi za Kiswahili

Mwanamke na Simba | Hadithi za Kiswahili

Image
Mwanamke na Simba | Hadithi za Kiswahili

CHEKA POINT;TIMBWILI LA MTEJA NA MUUZAJI

Image
CHEKA POINT;TIMBWILI LA MTEJA NA MUUZAJI

NGUVA! MASHETANI WANAOSUMBUA DUNIA KUWATAFUTA !!!

Image
NGUVA! MASHETANI WANAOSUMBUA DUNIA KUWATAFUTA !!!

CHEKA POINT; BAHILI HATARI DUNIA NZIMA

Image
CHEKA POINT; BAHILI HATARI DUNIA NZIMA

WAZUNGU WALIULETA UKIMWI KWA SOKWE NA NGEDERE ILI WATUUWE WATU WEUSI

Image
WAZUNGU WALIULETA UKIMWI KWA SOKWE NA NGEDERE ILI WATUUWE WATU WEUSI

IDI AMINI DADA: CHINJA CHINJA RAIS WA UGANDA ALIYEISHI NA VICHWA VYA WATU KWENYE FRIJI

Image
IDI AMINI DADA: CHINJA CHINJA RAIS WA UGANDA ALIYEISHI NA VICHWA VYA WATU KWENYE FRIJI

MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA

Image
MAAJABU KUMI YA SOKA USIYOYAJUA

MFAHAMU KIM JONG UN MBABE WA MAREKANI: ANAYEIONGOZA KOREA KITEMI

Image
MFAHAMU KIM JONG UN MBABE WA MAREKANI: ANAYEIONGOZA KOREA KITEMI

MAFIRAUNI: WALIOGA MIKOJO / WAKAJIITA MUNGU / WALIKATA PUA NA KUPAKA WANJA !

Image
MAFIRAUNI: WALIOGA MIKOJO / WAKAJIITA MUNGU / WALIKATA PUA NA KUPAKA WANJA !

MIJI NA VISIWA VYA MIZIMU AMBAVYO WATU WAMESHINDWA KUISHI

Image
MIJI NA VISIWA VYA MIZIMU AMBAVYO WATU WAMESHINDWA KUISHI

MAAJABU YA MSITU WA AMAZON / UNATISHA / MITI INATEMBEA / NYOKA WA AJABU

Image
MAAJABU YA MSITU WA AMAZON / UNATISHA / MITI INATEMBEA / NYOKA WA AJABU

"MASHETANI WA UTAJIRI NA NGUVU ZA MAREKANI" (Simulizi za Aliens na Area 51)

Image
"MASHETANI WA UTAJIRI NA NGUVU ZA MAREKANI" (Simulizi za Aliens na Area 51)

BAHARI YA SHETANI: NYUMBA YA LUCIFER / KWENYE VIMBUNGA NA UPEPO MKALI / WALIPOKUFA MAELFU YA WATU

Image
BAHARI YA SHETANI: NYUMBA YA LUCIFER / KWENYE VIMBUNGA NA UPEPO MKALI / WALIPOKUFA MAELFU YA WATU

Fundi cherehani jasiri | Hadithi za Kiswahili

Image
Fundi cherehani jasiri | Hadithi za Kiswahili

CHEKA POINT : CUSTOMER CARE {Episode 1}

Image
CHEKA POINT : CUSTOMER CARE {Episode 1}

SADAKA ZA FREEMASONS...!!! UKWELI KAMILI.

Image
Kuanzishwa kwa Freemasons, Ukweli wa Kafara za Freemasons na Mauaji , na Kinachoendelea kwenye ulimwengu wa Freemasons. Itazame Hapa chini:

MUAMMAR GADDAFI: RAIS ALIYEVULIWA NGUO NA KUBURUZWA BARABARANI/ MWILI WAKE KUKAA BUCHANI HADI KUOZA

Image
MUAMMAR GADDAFI: RAIS ALIYEVULIWA NGUO NA KUBURUZWA BARABARANI/ MWILI WAKE KUKAA BUCHANI HADI KUOZA

VITUKO VYA MUGABE NI AIBU NA USHUJAA !!!

Image
VITUKO VYA MUGABE NI AIBU NA USHUJAA !!! #Thestorybook Simulizi ya Maisha ya Raisi wa Kwanza wa Zambia Robert Mugabe.

KIFO CHA 2PAC NI UONGO NA MAAJABU !!!!!

Image
KIFO CHA 2PAC NI UONGO NA MAAJABU !!!!!

TAZAMA MELI YA TAITANIC ILIVYOZAMA NA KUUA MAELFU YA WATU

Image
Imepita miaka 107 lakini dunia imeshindwa kuhusahau usiku wa umauti, Ulikuwa usiku wa kiza kinene kwenye bahari yenye kina kirefu, bahari ya Atlantic, Ilikuwa Aprili 14 mwaka 1912 Usiku ambao meli kubwa zaidi kwenye historia ya Dunia ilizama, Meli ya Titanic TAZAMA STORY HAPA CHINI:

SIRI YA MICHAEL JACKSON NA FREEMASON/ MIAKA 30 YA MATESO

Image
SIRI YA MICHAEL JACKSON NA FREEMASON/ MIAKA 30 YA MATESO

KISA CHA BOB MARLEY / BANGI NA MUNGU / MAISHA YA MATESO

Image
Hii ni simulizi Maarufu ya Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Reggae kutoka nchini Jamaika ajulikanae kama Bob Marley, Story hii inavutia sana, Unaweza kuitazama hapa chini:

KISA CHA AJABU CHA REMMY ONGALA KUZALIWA MISITUNI MPAKA MSIBA WAKE USIOSAHAULIKA

Image
Hadithi wasioijua wengi inasema Remi Ongala alizaliwa kwa Mganga kwenye msitu huko Congo, Eti alizaliwa na Meno yake na Alikatazwa Kukata nywele zake kabisa au atakufa. STORY NZIMA ITAZAME HAPAA CHINI: