Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.!

Yaliomo ndani: Ni jambo zuri sana kujifnza kuhusu mambo yanayotuzunguka, utamu mara nyingi unakuja pale utakapo jifunza kitu ambacho haujawahi kukiona, tuamini sisi tunafahamu ladha yake, ikitokea umepelekwa Victoria falls iliyopo huko zimbabwe na ukashuhudia maajabu ya ulimwengu wetu, hata ukihadithia vip hakuna namna utaweza kulinganisha na vile ulivyoweza kushuhudia kwa macho yako mawili, kwani ukubwa wake hakuna mfano mwingine unaoweza kutumia ili ufananishe na sehemu hiyo, hizi hapa sehemu ambazo haujawai kuzifikilia kwamba zipo, lakini zipo na zinakusubiri wewe uweze kuzifahamu kupitia sisi, YIB.

Comments
Post a Comment