MAAJABU: KIJANA ANAYEMILIKI PERFUME GHALI ZAIDI DUNIANI
Hii Ndio Perfume (Marashi au Manukato) ya Bei Kubwa zaidi Duniani kwa sasa, na Kwa Pesa za Tanzaia Inauzwa Bilioni 2.9 huko Dubai inaitwa SHUMUKH maana yake ikiwa “deserving the highest” (INASTAHILI KUWA JUU) na imepewa Motto Inayosema The Spirit of Dubai.
Gharama yake imekuwa Kubwa Kutokana na Ujazo wake kuwa Mwingi, kwani ina lita 3 za ujazo na Ina Urefu wa Mita 1.97 lakini Pia Chupa yake iliyotumika kuitengeneza ni ya bei mbaya sana ikiwa na Nakshi za Vito vya Dhahabu Ambazo zina Uzito wa Kilogram 18, Silva yenye Uzito wa Kilogram zaidi ya 5 Pamoja na Almasi kwa Upande wa Juu na Pembeni
Comments
Post a Comment