Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.!

Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.!

Tangu HIV Imeenea Duniani, Zaid ya watu mil 70 wameambukizwa, na kati ya hao Million 35 wamepoteza maisha., lakini namba hii ya watu inaweza kuzidi kati ya siku na siku, kwasababu hakuna anae pona bali wagonjwa ndio wanao ongezeka Ingawa kama utapta dawa sahihi basi ugonjwa huu sio hukumu ya kifo kwako, UKIMWI- Ni kifupi cha neno Upungufu wa kinga mwilini' Upungufu huu kwa case ya HIV, unatokana na virusi ambavyo vinashambulia seli zinazolinda kinga ya mwili ziitwazo CD4 T, Sasa seli za CD4Tni aina ya seli hai nyeupe ambazo huitwa helper TCells, kila zinapogundua kuna adui zinafanya kazi ya kupambana nae, kiufupi unahitaji sana walinzi hawa kwenye mwili wako, Enjoy.!


Comments

Popular posts from this blog