Mti Unaojizungusha Wenyewe Bila Kushikwa.!
In this video:
Hawa ni vijana ambao huwa wanajirekodi kwaajili ya mashabiki wao kuona maisha wanayoishi,
Siku moja waliamua kufanya mchezo maarufu kama prank ambao unaigiza unafanya kitu huku ukiwa na maana ya utani, mara nyingi michezo hii huwa inaleta matatizo, lakin hawa walipata kubwa zaidi…
Walienda katika musium moja huko nchini marrkani na kujidai kama wanaiba vitu vilivyokuwepo humo ndani, hali iliyosababisha watu kushtuka,
Siku hiyo hiyo waliweza kukamatwa na polisi na kushtakiwa kwa makosa ya kusababisha uwoga kwa watu na kupewa muda tofautitofauti wa kukaa jela
Enjoy.!
Comments
Post a Comment