Kisa Cha Watu Hawa Kuamini Mashetani Na Kupelekea Vifo Vyao.!
Kisa Cha Watu Hawa Kuamini Mashetani Na Kupelekea Vifo Vyao.!
In the Video:
Hotel moja iitwayo Menger ambayo ipo nje kidogo ya jiji la Texas nchini marekani, ili repotiwa kuwa na mambo mengi sana ya ajabu, Hote hii ilijengwa mwaka 1959, na tangu imejengwa imekuwa ikiendelezwa na wamiliki ambao ni familia moja huku wakirithishana vizazi na vizazi,
Inasemekana katika hotel hiyo watu wamekuwa wakikutana na vitu vya ajabu sana kama vile sura za mizim katika vioo vya chooni na vyumbani mpaka imefikia kipindi watu waliopo karibu wakawa wanaogopa kuingia katika hotel hiyo.
Comments
Post a Comment