Mtoto wa Ajabu Aliekutwa Anaelea Hewani.
In this video:
Baadhi yetu tunapenda kujihusisha na utafiti wa matukio mbali mbali, lakoni sio kila tukio lina majibu, matukio mengine yanatuacha na maswali vichwani mwetu, Na kumuachia mungu tu ndicho kilichobaki kwani yeye ndio anajua majibu ya maswali yote.!
Karibu kwenye channel yako pendwa ya Youtube is bae, Leo tunakuletea Matukio yaliyowahi kutokea duniani bila kupata ufumbuz wake.!
Comments
Post a Comment