BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20

BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20

BOKASSA: Rais Mjinga Na Kituko Cha Karne Ya 20 Safari ya Bokassa ilianza vibaya ikaisha vibaya. Kwanza alikuwa yatima katika umri mdogo, akawa mtu mkubwa jeshini, akawa Rais wa nchi, akala, akanywa, akaiba, akaoa, akazaa, akafukuza, akatesa, akaua, akapinduliwa, akakimbia nchi,akarudi, akafungwa, akaachiwa, akafa ni mzee wa miaka 75, tena lofa! Akiwa na umri wa miaka 6, alishuhudia baba yake akipigwa mpaka kufa na wakoloni na wiki moja baadaye mama yake alijiua.


Comments

Popular posts from this blog