FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia

FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia

FRANSISCO NGUEMA: Rais Mvuta BANGI Aliyeua Nusu Ya Raia / Alinyongwa Pia Huyu ni Rais wa Jamhuri ya Guinea ya Ikweta yaani Ginekweta, nchi iliyobarikiwa utajiri wa mafuta na gesi ikalaaniwa viongozi! Ni nchi ndogo kuliko jiji la Dodoma na inapatikana huko Afrika Magharibi. Macias Nguema alikuwa wa kwanza tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka Uhispania mwaka 1968. Kazi kubwa aliyoifanya katika utawala wake ni kuvuta bangi na kuvuruga nchi.


Comments

Popular posts from this blog